Tofauti na watu na mataifa mengine, kwa Waafrika suala hilo ni siri na linahitaji faragha kukamilika. Lakini kwa baadhi ya watu imekuwa kero kutokana na kutamani kufanya tendo hilo gizani, huku wanawake wakitajwa kuwa vinara wa kuzima taa.
Utafiti mpya umebaini kuwa katika kila wanawake wanne, mmoja anapenda na anakuwa huru kufanya mapenzi gizani kwa sababu mbalimbali ikiwamo kutojiamini.
Carl Loudgers aliyeshiriki kwenye utafiti huo na kuwauliza wanawake zaidi ya 2,000 kwa kukusanya majibu kwa njia ya mtandao anasema walibaini asilimia 60 ya wanawake hao wanatamani kuwa na ujasiri wa kukutana kwenye mwanga lakini wanashindwa.
>>>Malizia Habari Hii Kwa Ku-install App ya Usiku wa Mahaba ila ni kwa Wakubwa Tuu..Pia Jifunze Kumkojolesha Mwanamke Ndani ya dakika Tatu, Jiunge na Magroup Ya kikubwa Whatsapp Pakua App Usiku wa Mahaba Bonyeza Hapa<<<