Mpenzi msomaji, katika maisha ya sasa kuna vijitabia ambavyo vimeibuka kiasi cha kuyafanya mapenzi kuwavuruga walio wengi.
Tumekuwa tukisikia habari za baadhi ya watu kutembea na watu wao wa karibu lakini pia suala la mtu kutembea na rafiki wa mpenzi wake si geni masikioni mwetu.
Juzi nilibahatika kuzungumza na dada mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Furaha Juma wa Morogoro. Katika maelezo yake anamlalamikia mume wake ambaye amekuwa kwenye uhusiano na shoga yake kwa muda mrefu bila yeye kujua.
Anasema: “Huu ni mwaka wa pili rafiki yangu wa karibu amekuwa akitembea na mume wangu. Kuna dalili za hapa na pale nilikua naziona ila sikuzitilia maanani, nikaona niwe mpole lakini hivi karibuni ndiyo nimeujua ukweli, nimeumia sana.”
>>>Malizia Habari Hii Kwa Ku-install App ya Usiku wa Mahaba ila ni kwa Wakubwa Tuu..Pia Jifunze Kumfikisha Kileleni Mwanamke Ndani ya dakika Tatu,Pia Jiunge na Magroup Ya kikubwa ya Whatsapp...Download App ya Usiku wa Mahaba Bonyeza Hapa<<<
Kama unatumia Computer chukua simu yako ingia Playstore Tafuta Usiku wa Mahaba Upate Huu Utamu