Je Wajua Kujamiaana na Mtu Hata Kwa Dakika Moja Unaweka Agano la Damu, Je Wajua Madhara Yake ? | Usiku Mahaba

Je Wajua Kujamiaana na Mtu Hata Kwa Dakika Moja Unaweka Agano la Damu, Je Wajua Madhara Yake ?


Unapohusiana na mtu kimapenzi unafanya naye agano la damu. Agano hilo maana yake ni kwamba wewe unakubaliana na kufungamana na sifa na tabia pamoja na vifungo vingine vyote kama vile laana, mizimu, matatizo na majanga mbalimbali yanayomhusu huyo uliyefanya naye mapenzi, kadhalika na yeye anafungamana na wewe katika mambo hayo.

Agano la namna hiyo humtaka aliyeingia katika hayo mapatano kukubaliana nayo "consistently". Iwapo mhusika hatatii au ataenda kinyume na agano, ndipo agano hilo "hutrigger malice" na kusababisha kutokuelewana, vurumai, kutokupendana na hata kuuana katika mahusiano na mara nyingi kupelekea kuachana!

Kimsingi, unapojamiana na mtu unakubaliana naye kuchangia kila kilicho chake, na yeye pia anakubaliana kuchangia na wewe kila kilicho chako, hasa laana na matatizo kama vile magonjwa na mizimu kwa sababu hivi vitu vimejengwa katika maagano ya damu.

Ndio maana wakati mnaoana na mwenzio mlipendana sana, lakini kwa sababu wewe au mwenzi wako alichepuka na kufanya maagano: ugomvi, mapigano, kutishiana, chuki na hata kutaka kuuana hakuishi kila leo! Swala sio wivu kwamba unahisi mwenzi wako anakusaliti au kuhitilafiana katika mambo tu ya kawaida, issue ni yale maagano ya damu ambayo "hudemand price"!

>>>Malizia Habari HiI Ndani ya Usiku wa Mahaba App ni kwa Wakubwa Tuu..Pia Jifunze Kumfikisha Kileleni Mwanamke Ndani ya dakika Tatu,Pia Jiunge na Magroup Ya kikubwa ya Whatsapp Yote Ndani Ya App...Download App ya Usiku wa Mahaba Bonyeza Hapa<<<